kaza buti mkuu, hata mie nimetumia tofali hizohizo na nyumba iko bomba ile mbaya, cha muhimu kama kweli umedhamiria kujenga inabidi ufunge mkanda, lakini usikate tamaa kila kitu kinawezekana, kwako ni kwako hata kama ni porini, temana na hizo nyumba za shikamoo!