Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BA Agroeconomics iko makini sana ...nendakapige hiyo mkuu wangu....ni multi purpose na nondo zake pale SUA ni za uhakika haswa...hiyo yenu ya UDSM unasoma huku unakula koni itakusumbua sana baadaye maana iko shallow sana

Tunakoelekea miaka 25 hadi 50 mbele degree nyingi sana zitaitwa BSc badala ya BA. Ni kutokana na kuingia katika karne ya sayansi na tekinologia mambo ya arts yanabakia kwenye burudani etc. Sina maana ya kumdharau mtu yeyote mwenye BA, not at al, I ma justing sharing my 50 cents. Kama unaweza kupata BSc badala ya BA, go for it buddy. On the face of it inaonesha it is much loaded....
nadhan alikua ana maansha kwamba hyo BA ni rahis sana.