kwanza nianze kwa kuweka sawa hili:-
neno Tobo kama lilivyo halina maana yoyote na si neno sahihi la kiswahili( tunaweza kuliweka katika common mistake in swahili).
kuna Toboa= kitendo kuna Tundu= matokeo ya toboa
kama unakubaliana nami kwa maelezo yangu ya awali basi ni makosa kusema:- toboa tobo