Tofauti kati ya Advanced Diploma, Higher Diploma, Ordinary Diploma na Degree

Tofauti kati ya Advanced Diploma, Higher Diploma, Ordinary Diploma na Degree

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Kuna tofaut gani hapo nataka kwenda kusoma higher diploma ya special education pale patand
 
hizo mambo zipo kwenye NTA BASIS ipo km hv

NTA LEVEL 4 N CERTIFICATE
NTA LEVEL 5 DIPLOMA ONE
NTA LEVEL 6 DIPLOMA TWO
NTA LEVEL 7 N ADVANCED DIPLOMA AU HIGHER DIPLOMA
NTA LEVEL 8 NDO DEGREE

HOPE UTAELEWA BANDUGU NAPITA TU
 
5.Diploma I=technical certificate &6.Diploma II =ordinary diploma.na certificate ni basic.
7&8 hizo zote ni degree ambayo unafanya kwa miaka 3 kama ni bachelor dgr ya kawaida
 
Degree haitimii mpaka usome level 7(higher diploma) for 2 years and lvl 8 for one year equal to 3years(kama course za kawaida)
 
hiyo advanced diploma n sawa n degree kwa facts hizi

cpa unaanzia kama mtu wa degree
n uquivalent to masters mfano mzumbe n ifm
 
Degree haitimii mpaka usome level 7(higher diploma) for 2 years and lvl 8 for one year equal to 3years(kama course za kawaida)

Ni kweli kabisa. Level7 ni replica ya Advanced Diploma ya wakati ule, kabla mfumo haujabadilishwa. NACTE ndo wanajua zaidi
 
Back
Top Bottom