solja njeree Senior Member Joined Aug 27, 2013 Posts 175 Reaction score 95 Nov 12, 2013 #21 akili za wanawake kumi nisawa naza kijanaa mmoja anaeanza kubalehe
jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 992 Nov 12, 2013 #22 ngoja nitulie hapa nijifunze mapya......
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Nov 12, 2013 #23 mwanamke yupo kwa ajili ya kumpa changamoto mwanaume. ila Mwanaume yupo kwa ajili ya kufuta makosa ya mwanamke.!!!
mwanamke yupo kwa ajili ya kumpa changamoto mwanaume. ila Mwanaume yupo kwa ajili ya kufuta makosa ya mwanamke.!!!
L lusban JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 729 Reaction score 359 Nov 12, 2013 #24 Hapo kwenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja sina maswali.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Nov 13, 2013 #25 and viceversa is also true Wapoti said: Mwanaume ni spender na mwanamke ni saver Click to expand...
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Nov 15, 2013 #26 served said: na mwanaume ni mwepesi wa kukana ujauzito Click to expand... kadhalika kwa mwanamke...huwa wesesi sana kubambikia mimba watu wasiohusika nazo...
served said: na mwanaume ni mwepesi wa kukana ujauzito Click to expand... kadhalika kwa mwanamke...huwa wesesi sana kubambikia mimba watu wasiohusika nazo...
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Nov 15, 2013 #27 Bujibuji said: Hizi ni akili za wazungu MziziMkavu hebu tuwekee akiliza wanawake wetu wanaotunza pesa kwenye vibubu, pindo la kanga na kwenye maziwa Click to expand... Heh heh heh hawa wa kibongo utakuta kamnunia jirani yake kwa kusoma tu maandishi yaliyoandikwa kwenye kanga ya jirani huyo... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bujibuji said: Hizi ni akili za wazungu MziziMkavu hebu tuwekee akiliza wanawake wetu wanaotunza pesa kwenye vibubu, pindo la kanga na kwenye maziwa Click to expand... Heh heh heh hawa wa kibongo utakuta kamnunia jirani yake kwa kusoma tu maandishi yaliyoandikwa kwenye kanga ya jirani huyo...
bona JF-Expert Member Joined Nov 6, 2009 Posts 3,798 Reaction score 1,440 Nov 15, 2013 #28 wanawake wanatumia FEELINGS zaidi wanaume wanatumia fACTS!!!
conductor JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 811 Reaction score 681 Nov 15, 2013 #29 Mwanamke hutembea na kioo kwenye mkoba wake ili ajiangalie muda wowote...MWANAUME bora shati iwe imechanika kola ila kiatu kiwe imara...
Mwanamke hutembea na kioo kwenye mkoba wake ili ajiangalie muda wowote...MWANAUME bora shati iwe imechanika kola ila kiatu kiwe imara...
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,548 Reaction score 2,580 Nov 15, 2013 #30 Nimekuelewa sana Mzizimkavu
kitwala JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,476 Reaction score 1,066 Nov 16, 2013 #32 FACT, wanawake majanga sana linapokuja suala la maamuzi magumu.