Tofauti kati ya bachelor wa kike na wa kiume

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,572
kwa Maria
sukari iko wapi?
Maria: nenda pale kitchen, angalia juu ya meza upande wa kulia kuna hotpot juu yake kuna ndoo nyeupe sasa hapo kushoto kuna kikontena cha sukari...

Kwa John
sukari iko wapi?
John: sukariiiiiiiii duh.. itakuaaaaa ah, sikumbuki, mara ya mwishoooo ilikuaaaa.. hebu angalia hapo chini ya mto

[emoji15][emoji15][emoji15] chini ya mto??
 
Dah!! ukapela nao unahitaji moyo, unakuta gari ya huyo bachela wa kiume inang'aa nenda. chumbani ujionee sasa:kijiko kwny uvunngu wa kitanda sahan Kwny kochi
 
Hivi msichana ambaye hajaolewa kwa lugha ya malkia wanamwitaje?
 
Duh
 
Wanaume ni bachelor na wanawake ni diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…