Tofauti kati ya Bia na Viroba

Patasote

Member
Joined
Nov 20, 2012
Posts
16
Reaction score
2
Wakuu nataka nijue tofauti ya hivyo vitu viwili (Beer Na Viroba) pamoja na madhara, faida ya Afya n.k kwa wataalam wa mambo haya
 
Kiroba cha salflate au chagunia?
 
Haya chale.....mimi nakusudia kiroba cha Konyagi
 
Bia inachosha sana. Kiroba hakichoshi ila ni kikali kuliko konyagi ya chupa. Bia ina virutubisho vingi kushinda kiroba. Na pia ukinywa kiroba unaonekana umechoka lakini bia unaonekana uko sawa kifedha
 
Bia inatengenezwa na hopa and grains wakati jamii ya kiriba ni distilled ya vimea vinavoweza kutengeneza bia.

Ni vema ukatumia viroba kuliko bia kwasababu bia ina kiasi kidogo sana cha ulevi kwenye ujazo kinachobaki ni maji sio safi sana na mangano iliyochacha wakati kiribo ni kinakiasi kikubwa cha ulevi kiaai kidogo ni maji yaliyochujwa kwa njia ya umvuke baada ya kupoozwa ambayo ni safi na salama.

Uhauri ni vizuri unywa kiroba kwani lengo la kunywa ni kupata steam na kuchangamka utatumia kiasi kidogo cha kiroba ili upate steam na kuburudika ambapo kama ni bia utabidi unywe bia nyingi sana ili upate hiyo starehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…