mi nauliza hivi kama unafanya investments mfano unanyumba za kupangisha 30, sasa mfano chukulia nyumba zote zimepata wateja,
hapo kwanza utaanza kuingiza faida ya rents za wapangaji wako, say kila nyumba laki mbili so jumla inakuwa milioni sita kwa mwezi, sasa kumbuka ujenzi wako umekula fedha nyingi sana mfano kila nyumba mil.60 kwa nyumba zote inakuwa 1.8bilioni
sasa kama kwa mwezi nyumba zinakupa rents ya mil,6 nikichukuwa 1.8bil gawa kwa mil 6 napata miezi 300 sawa na miaka 25 kwa kutegemea rents tu, inakuhitaji miaka walau 25 hela yako kurudi ni mingi sanaa hapo matengenezo bado hujayapigia, nayenyewe narudisha faida chini
sasa nabuni mbinu ambayo, naenda kugeuza investments kwenda katika high risk(biashara) nyumba zote zikiwa na wapangaji, nitakachofanya hela ya rents naitumia kama matumizi ya nyumbani kama vile chakula,mavazi, then naingia bank naziweka nyumba zote rehani, napewa mkopo natafuta kitu cha risk kidogo natia pesa yangu yote kule ikitokea results are postive, yaani nimepata profit ya 1.8bil sawa na gharama nilizotumia kujengaa, basi bank nawarudishia hela yao wananipitia hati zangu na bank nabakiwa na profit ya 1.8bil ambayo ni gharama niliyotumia kujenga nyumba zangu hapo nakuwa wapangaji nimewauza bila kujijua, hapo nakuwa hela yangu ya ujenzi imerudi below 25 years, na naendlea kula rents za wapangaji na vilevile hata nikitumia tena kiasi cha pesa kufanya matengenezo nakuwa niko sawa coz ni part ya profits nimetumia, nyumba nazipangisha sio kwamba nategeme hela ya wapangaji hapana, ila hela yao ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, na pia nawapangisha kuzifanya nyumba ziwe ACTIVE, na pia bila wao kujijua nawafanya kuwa walinzi, na mwisho wananilipa kwa interms of rents badala ya wao niwalipe.
ni mawazo yamenijia kuimove invetsments kwenda kwenye breakeven kwa muda mufupi japo ni high risk, kuliko kuicha hadi muda ufike ndo ifike kwenye breakeven hapo unaweza kuwa teali umekufa, unakuwa umeambulia kula rents wenzio waliobaki wanamanga karibia 70% ya dhamani ya majengo yote bila jasho. so ni mmoja ya njia ya kula faida mapema ya majengo ukiachana na rents, ili hata ukifa na utakaowaachia nawenyewe watakula faida sawa na wewe
inaitwa equity diversifications
sasa hapa sijui niseme nimefanya investments au bisiness, maana nimeanza na kuwekeza, then nikaubadili uwekezaji kuwa biashara then biashara nikairudisha mwanzo kwenye uwekezaji.
lengo la kuamishahamisha ni kutransforms risks kutoka negative kwenda postive na kutoka postive kwenda negative, lengo nikumaxmizing profits, ukiwa katika negative unakuwa katika risks ya kupata faida kubwa na kupata loss kubwa na ukiwa katika postive, unakuwa katika risk ndogo ya kupoteza na utapata faida kidogokidogo.
mimi napenda niwe na investments lakini hizo investments nizifanyie speculations, nikipiga real estate zangu zinabaki palepale, nikipigwa zinabigwa mnada..
ili speculations isiharibu investments zangu, itabidi nijifunze kumanage risks, kwamba mkopo wa bank nitatumia only 10% kutafuta riba yao na asilimia 90% iliyobaki kwenye account, ikitokea 10% nimepata riba yao + 90% ya hela niliyopewa na bank kama mkopo, basi nitachukilia investments imenipata faida mala mbili, ukiachana na rents, na ikitokea nimepigwa hiyo 10% basi nachukulia nimepoteza asimilia ndogo sana so haina effects sana kwenye investments zangu kufikia kupigwa mnada , tofauti na watu wengine watumiayo hela yote ya mkopo kwenda kwenye biashara, wanasema d'ont put all egges into one bucket wakimmanisha ikitokea ndoo imedondoka mayai yanaweza vunjika yote na ukapoteza kila kitu,
kumbe wewe muulizaji uwekezaji, unalow return na low risk
biashara ina high return na high risks biashara ni kama speculation(arbtrage) so nichaguo lako ufanye nini.
Ahasante