ukiituma ya UDOM hapa bas nakupa mwekundu wa kuunga MB
Website zao kila siku ndio zina matatizo?Nafikiri UDOM wanashida na website yao (http://coed.udom.ac.tz/) lakini sio ku-publish prospectus. Halafu swali lilikuwa juu ya tofauti kati Bsc with Educ. na Bsc in Educ. Hivyo hizo za duce na muce zitampa jibu.
Normally, I don't bet.
kozi nyingine unaweza kusomea ukimaliza in education, kozi zenyewe ni kama udereva, urubani, uhandisi, uanasheria,utabibu nk, ila kuna kozi nyingine watakubana uanzie Postgraduate Diploma then mwendo mdundo, Kozi unayoweza kusoma masters moja kwa moja ni MBA, MPA, Msc Mathematics nk nk nk.Mkuu sina utaalamu ni hilo, tusibiri wajuvi waje hapa.
Hakuna kitu asikutishe mtu hata kidogo.
Nimesoma BEd in Science ya SAUT, niligraduate 2012, nasoma MBA LM saiv hapa town, nina jamaa zangu tulisoma darasa moja kabisa. Mmoja kamaliza MSc in Environmental science and engineering ya Nelson Mandela, Mwingine kamaliza MSc in Medical Parasitoloty and Entomology y KCMC ni Ass. Lecturer pale KCMCollege, Mwingine kamaliza MBA UDOM ni Business Consultancy Hapo DSM kampuni kubwa tuu anaendesha masemina kibaaao kila kona ya nchi.
HAKUNA SPECIFIC FORMULAR.
Huwezi kufanya master ya kitu chengine ukisoma in education?na naskia in education unafundisha katika vyuo vya ualimu ni kweli?
Naipenda Bachelor y Education kwasbabu moja tuuu inakupa uhakika wa Pesa kidogo wakati unatafuta Masters ya Pesa nyingi
Soma - Hutajutia - Trust Me -
Mh flyn rider unanichanganya Sasa. Usome masters Mara ngapi? Ya maths na ya statistics!! Kwani kwa Sasa uko chuo au unatarjia kujiunga sooon?
nataka nipige hio kaka,ila ndio watu walishaanza kunichanganya,maana kwa hela ya kusoma master nitapata tuu mungu akipendaNaipenda Bachelor y Education kwasbabu moja tuuu inakupa uhakika wa Pesa kidogo wakati unatafuta Masters ya Pesa nyingi
Soma - Hutajutia - Trust Me -
Nipo IM Y3 nakaa FK