Mkuu hoja hii nimekuwa nikiisikia mara kwa mara sehemu nyingi.
Kuhusu kama ma supa staa na macele wapo bongo, mi na nadhani wapo kutokana na level yetu. Cele wa SA si sawa na wa USA, hii inategemea jamii husika.
Sina hakika sana ila nijuavyo mimi unaweza kuwa cele na usiwe supa staa, ila masupa staa wote ni macele.
Supa staa ni wanamichezo actors musician kwa ufupi walio ktk nyanja ya burudani
cele ni watu wanaokubalika zaidi katika jamii, napata tabu kidogo kueleza hili mfano Usa mke wa obama,mtoto wa clinton ni macele kutokana na mvuto wao kwa jamii.
Jaribu juperuzi fobes na list ya marichest cele utapata mwanga