ijoz JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 731 Reaction score 715 Apr 20, 2013 #1 Jamani wadau, mwenye kufahamu tofauti ya Company na limited , na ipi ni kubwa kuliko nyingine, faida ya kufungua company/limited over limited/company na taarifa zozote muhimu anijuze. Natanguliza shukrani.
Jamani wadau, mwenye kufahamu tofauti ya Company na limited , na ipi ni kubwa kuliko nyingine, faida ya kufungua company/limited over limited/company na taarifa zozote muhimu anijuze. Natanguliza shukrani.