king henry
Member
- Sep 2, 2018
- 10
- 7
Kuna gari hazina diff
Hata gari zinazovuta mbele zina diffSiongelei gari za kisasa zinazovuta mbele Naongelea gari ambayo ili itembee lazima kuwe na nguvu inayosafirishwa kutoka kwenye gearbox kwenda kwenye difu na kusambazwa katika wheel