M Musaru Member Joined Jul 5, 2015 Posts 38 Reaction score 24 Dec 1, 2016 #1 Habari wadau! Kabla sijaingia kwenye biashara zilizorasimishwa, kuna mambo kadhaa nahitaji kuyafahamu. Je, naweza kutumia jina la biashara la kawaida (lisilokuwa kampuni) Ku import bidhaa kwa ajili ya biashara. Asanteni, naomba niishie hapo kwanza
Habari wadau! Kabla sijaingia kwenye biashara zilizorasimishwa, kuna mambo kadhaa nahitaji kuyafahamu. Je, naweza kutumia jina la biashara la kawaida (lisilokuwa kampuni) Ku import bidhaa kwa ajili ya biashara. Asanteni, naomba niishie hapo kwanza
M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,108 Reaction score 5,110 Mar 9, 2017 #2 Nilikuwa na nia ya kuanzisha thread kama hii. Wataalamu naomba mje mtusaidie
Emma Mnyama JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 201 Reaction score 183 Jan 22, 2018 #3 Wataalamu mkuje huku
Money Stream Member Joined Jan 21, 2018 Posts 9 Reaction score 6 Jan 22, 2018 #4 Jina la biashara la kawaida , lisilokuwa la kampuni. Nyoosha maelezo vema ! My suggestions: Case study: Kampuni ya mawasiliano MIC TANZANIA LIMITED VS TIGO Huwezi kutumia neno tigo ku import mzigo bali MIC why? tigo is not an artificial person but MIC hivyo sio mlipa kodi but MIC ndiye. tigo jina la ma promosheni tu sawa na red devils vs man utd
Jina la biashara la kawaida , lisilokuwa la kampuni. Nyoosha maelezo vema ! My suggestions: Case study: Kampuni ya mawasiliano MIC TANZANIA LIMITED VS TIGO Huwezi kutumia neno tigo ku import mzigo bali MIC why? tigo is not an artificial person but MIC hivyo sio mlipa kodi but MIC ndiye. tigo jina la ma promosheni tu sawa na red devils vs man utd
M Muhagaze Leopold New Member Joined Jan 14, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Jan 25, 2018 #5 Jina la biashara kisheria halina hadhi ya kuwa entinty kamili wakati kampuni ni legal entity kisheria.
Jina la biashara kisheria halina hadhi ya kuwa entinty kamili wakati kampuni ni legal entity kisheria.
Malingumu JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 616 Reaction score 429 Jan 29, 2018 #6 Muhagaze Leopold said: Jina la biashara kisheria halina hadhi ya kuwa entinty kamili wakati kampuni ni legal entity kisheria. Click to expand... Nami nina swali hapo, mfano nikaenda sajili jina la biashara BRELA, siyo kampuni, je mtu mwingine ambaye tuseme anataka kusajili kampuni ambaYo jina lake la kampuni ni sawa na la kwangu la biashara, je ataruhusiwa kusajili
Muhagaze Leopold said: Jina la biashara kisheria halina hadhi ya kuwa entinty kamili wakati kampuni ni legal entity kisheria. Click to expand... Nami nina swali hapo, mfano nikaenda sajili jina la biashara BRELA, siyo kampuni, je mtu mwingine ambaye tuseme anataka kusajili kampuni ambaYo jina lake la kampuni ni sawa na la kwangu la biashara, je ataruhusiwa kusajili
displayname JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,972 Reaction score 1,085 Mar 10, 2020 #7 hiii threasd nzuri alafu imeishia njiani....hususani nyakati hizi za kuelekea katika uchumi wa viwanda...
hiii threasd nzuri alafu imeishia njiani....hususani nyakati hizi za kuelekea katika uchumi wa viwanda...