Tofauti Kati ya Karanga Mbichi na za Kukaangwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
mara nyingi nimeshuhudia wauzaji wa karanga wakipitisha mbili na za kukaanga na wengine mbichi na za kuchemsha na watu wengi hukimbilia za kukaanga/kuchemsha

Nini umuhimu wa kila moja kwa virutubisho au kwa maneno mengine ipi ni bora kati ya hizo?
 
Sory sijaelewa swal .umebase kwny virutubisho au mambo yenu ya kula ujana'?
 
Amavubi kaugonjwa kaangu ni hizi za kukaangwa aisee kila siku lazima nitafute hii uzuri wife kasha nijulia nikirudi tu jion nakuta kaanga napata na kikombe cha chai safi.
 
Hapa amebase kwenye Virutubisho lakini wasiwasi wangu mada itabadilika itapelekwa kwenye mlengo wa karanga mbichi na Goma.
 
Mh karanga mbichi zinasaidia kwenye mambo yetu kwa nyinyi ambao mpaka mbustiwe hila kwa kidume kamili hamna kitu kama hicho .ndo maana siku hizi ukipita jioni ubungo unakuta vidume na vifua vyao vinakula supu ya pweza du poleni sana
 
Amavubi kaugonjwa kaangu ni hizi za kukaangwa aisee kila siku lazima nitafute hii uzuri wife kasha nijulia nikirudi tu jion nakuta kaanga napata na kikombe cha chai safi.
ngoja waje wenye maujuzi yao huenda ukabadilika, hongera kwa kula gud tyme
 
Mh karanga mbichi zinasaidia kwenye mambo yetu kwa nyinyi ambao mpaka mbustiwe hila kwa kidume kamili hamna kitu kama hicho .ndo maana siku hizi ukipita jioni ubungo unakuta vidume na vifua vyao vinakula supu ya pweza du poleni sana
naona kama ushauri umekanganyika kidogo hapa
 
Back
Top Bottom