Sory sijaelewa swal .umebase kwny virutubisho au mambo yenu ya kula ujana'?
naona kama ushauri umekanganyika kidogo hapaMh karanga mbichi zinasaidia kwenye mambo yetu kwa nyinyi ambao mpaka mbustiwe hila kwa kidume kamili hamna kitu kama hicho .ndo maana siku hizi ukipita jioni ubungo unakuta vidume na vifua vyao vinakula supu ya pweza du poleni sana