Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 111
mwenye kujua tofauti ya KAZI na AJIRA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ni hivi:
kazi ni neno la kawaida linalotumia mara nyingi. Mara nyingi ni kazi ya kibarua. Hilo neno lina asili ya bantu. Kwa kiingereza ni "work"
ajira huwa ni neno kumaanisha kazi ya kudumu au kazi ilio na mshahara. Hilo neno lina asili ya kiarabu. Kwa kiingereza ni "employment. Neno lingine ya kuhusika ni "kuajiri", ambalo inamaanisha kumtumia mtu afanye kazi kwa muda.
Eti sijui kwanini mie nimeona unahitaj msaada wa kujua kuandika zaidi kuliko huo wa kujua tofauti ya hayo maneno
ebu rudi angalia upya heading yakokivipi??
ebu rudi angalia upya heading yako
ahsante asee.....nmeelewa kbxaa
yani huwa nashindwa kuwaelewa nyie mnaotumia herufi 'x' katika tungo za kiswahili.Tafadhali acha kwa manufaa yako.
sawa asee....kweli ni uharibifu wa lugha sema ndo yashakua mazoea