Kwanza tuanze na Ajira. Hili ndo hutuletea neno Ajiriwa. Maana yake unafanya kazi isiyo yako, ni ya mtu mwingine na ww unayeifanya unalipwa ujira yaani mshahara (Shika hayo maneno ma3 = Ajira, Ajiriwa & Ujira). Na neno kazi ndo kama hilo hapo juu isipokuwa sasa linakuwa mara mbili, unaweza ukafanya kazi na ukalipwa, inaitwa kazi, unaweza kufanya kazi na usilipwe nayo pia ni kazi. mf. unapolima shamba lako sio ajira na hulipwi ujira lakini unapolima shamba la mtu mwingine kwa kutegemea ujira (Mshahara), hiyo ni ajira. Kwaheri..