Taifa star ni ile timu ambayo inaunganisha wachezaji wa bara na visiwani na kuwa timu ya taifa la Tanzania. Ikiwa zanzibar heroes/stars ni ile ambayo inajumuisha wachezaji wa zanzibar tu kama nchi lakini haitambuliwi na fifa. Kilimanjaro stars ni ile timu ambayo inajumuisha wachezaji toka Bara tu me napenda kuiita timu ya taifa la TANGANYIKA ingawa hawaiiti hili jina!
Kuhusu kombe kubaki hapa hata kama tutafungwa si neema kwani ushindi utakuwa umekwenda kwa wageni na Zawadi/thamani ya pesa itakuwa imekwenda huko![/QUOTE]
Kwa yekundu hapo sijui kama uko sahii,kwani ninavyojua ni kuwa sheria za CECAFA ni kuwa timu zilizokaribishwa ikiwemo ivory coast hata ikishinda haipewi ubingwa.ila kimantiki ndiyo inakuwa bingwa lakini wao watapewa ushindi wa heshima lakini pesa,kombe vinabaki bonmgo mzee.