Tofauti kati ya Manager na Coach

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
562
Reaction score
494
Nahitaji kufahamu tofauti ya watu hao.Wana tofauti gani katika football maana kuna wakati anaitwa team manager na kuna wakati anaitwa head coach
 
Shabiby Video Line Coach
 
Head coach sio mtawala katika uendeshaji wa timu, nje ya uwanja, maneja ni mtawala wa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…