Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maonyesho ni exihibition kama sabasaba nanenane, wiki ya utumishi wa umma au miaka 50 ya uhuru ikihusisha display ya activities au products. Maonesho ni kuoangalia onyesho kama tamasha, onyesho la muziki, onyesho la fiesta etc. Ni kweli wengi wanachanganya maonyesho ya kuonyesha na onyesho la kutazama kama show.[/QU Usilazimishe kitu usichokijua. It is like this. Maonesho ni neno linalotokana na neno ONA ambalo ndo mzizi. Neno Maonyesho linatokana na mzizi au neno ONYA. Kwa kutumia tu mizizi ya hayo maneno unabaini tofauti kubwa kati ya maneno.