tofauti kati ya MAONYESHO na MAONESHO

Poriposha

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
303
Reaction score
68
Wale wataalamu wa lugha nisaidieni hizo tofauti ya hayo maneno, yananichanganya wajameni!!!!
 
Maonyesho ni exihibition kama sabasaba nanenane, wiki ya utumishi wa umma au miaka 50 ya uhuru ikihusisha display ya activities au products.

Maonesho ni kuoangalia onyesho kama tamasha, onyesho la muziki, onyesho la fiesta etc.

Ni kweli wengi wanachanganya maonyesho ya kuonyesha na onyesho la kutazama kama show.
 
 
onyesho inatokana na onya
onesho inatokana na ona.
mfano.hili onyo la mwisho ukirudia unapewa adhabu.
tumetoka kuona maonesho waliyotuandalia sabasaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…