Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hata wasiohalalishwa nao huwa wanasema wanafanya mapenzi. Na ndiyo maana utakuwa wameandika kwenye vyombo vya habari wafumaniwa wakifanya mapenzi.
Ngono haijahalalishwa,
Mapenzi yamehalalishwa.
Kwa mfano mie leo nimejiandaa kufanya mapenzi na wifi yenu,hapa sasa yupo njiani anakuja home nimeshamuandalia
UbwabwaNazi....acha kupotosha hoja ya msingi ya mtoa mada.... Hapa tunazungumzia ku.."DO"....
Ngono haijahalalishwa,
Mapenzi yamehalalishwa.
aisee samahani una undugu na madameX
Mara nyingi utasikia wakamatwa wakifanya ngono, mara nyingine wakifanya mapenzi, sasa tofauti ya maneno haya ni nini? najua wengine wanafikiri ngono ni ile isiyo halali, lakini hata mapenzi yapo halali na yasiyo halali.
ngono, mapenzi, tendo la ndoa!
Yasiyohalalishwa na nani?
Wahalalishaji ni wahusika, unless mmoja wao ana mahusiano mengine. . .nyingine mbwembwe tu.