Tofauti kati ya mapenzi na ngono

nginda

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
744
Reaction score
82
Mara nyingi utasikia wakamatwa wakifanya ngono, mara nyingine wakifanya mapenzi, sasa tofauti ya maneno haya ni nini? najua wengine wanafikiri ngono ni ile isiyo halali, lakini hata mapenzi yapo halali na yasiyo halali.
 
Lakini hata wasiohalalishwa nao huwa wanasema wanafanya mapenzi. Na ndiyo maana utakuwa wameandika kwenye vyombo vya habari wafumaniwa wakifanya mapenzi.
 
Lakini hata wasiohalalishwa nao huwa wanasema wanafanya mapenzi. Na ndiyo maana utakuwa wameandika kwenye vyombo vya habari wafumaniwa wakifanya mapenzi.

Sina la nyongeza bandugu.
 
Yasiyohalalishwa na nani?
Wahalalishaji ni wahusika, unless mmoja wao ana mahusiano mengine. . .nyingine mbwembwe tu.
 
.....mapenzi kwa wapenzi....ngono kwa mafuska....
Huwezi sema umemfumania mtu akifanya mapenzi bali akifanya ngono....
 
kufanya ngono ni watu wanapokutana kwa ajili ya lile tendo la kubanjuana tu,yani akili zao na mood zao zimekaa kwa ajili ya kuDo...

Kufanya mapenzi inamchanganyiko wa vitu vingi sana mkuu,ni zaidi ya tendo...kuna kucheza,kupika,kutembea,kupiga stori,kuchekeshana,kuimbiana na mengi tu yakiambatana iyo ngono......ndio maana watu wanaweza kukutwa Lodge na bado wakawa wanafanya mapenzi inategemea walianzaje mpaka kufika hapo na muendelezo utaofatia....


Kwa mfano mie leo nimejiandaa kufanya mapenzi na wifi yenu,hapa sasa yupo njiani anakuja home nimeshamuandalia brekifast akifika namlisha alafu tunaDuu...baada ya hapo atakuwa anapika cha mchana uku nikimpiga tafu kimtindo then tukishakula tutacheza game maana ye yukodown na Ps,tutaDuu,tutapumzika mpaka jioni,jioni nitamtoa tukale msosi somewhere,baada ya hapo tutaenda Mlimani kwenye utoaji tunzo za Kili coz mie ni mgonjwa wamuziki na nna maniga wangu wapo kwenye kinyang'anyiro so inabidi nikawasapoti,baada ya tukio kama atutaenda afterparty basi tutarudi home kulala...kesho mchana namludisha kwake akajiandae na kazini juma3.

Sasa hapo nafikiri unaona tofauti ya enjoyment nayopata kati yangu na wewe unaeita demu kwako alafu anafikia kitandani mnapigana mikasi kutwa nzima,ukitoka basi umefata kiepe ukirudi ni mikasi mpaka asubuhi...Nafikiri umenisoma mkuu.
 
Kwa mfano mie leo nimejiandaa kufanya mapenzi na wifi yenu,hapa sasa yupo njiani anakuja home nimeshamuandalia

...acha kupotosha hoja ya msingi ya mtoa mada.... Hapa tunazungumzia ku.."DO"....
 
...acha kupotosha hoja ya msingi ya mtoa mada.... Hapa tunazungumzia ku.."DO"....
UbwabwaNazi.


mkuu kama uelewi kitu omba ueleweshwe..jamaa kauliza tofauti ya mapenzi na ngono,na nimejitaidi sana kumwelewesha...sasa we unakuja kutulazimisha tuongelee kuDo peke yake..we vp bwana!
 
Mara nyingi utasikia wakamatwa wakifanya ngono, mara nyingine wakifanya mapenzi, sasa tofauti ya maneno haya ni nini? najua wengine wanafikiri ngono ni ile isiyo halali, lakini hata mapenzi yapo halali na yasiyo halali.

Ishu hapa ni kuwa wamekutwa doing sexual intercourse. Hayo mengine ni mbwembwe, kupunguza/kuongeza ukali wa maneno.
 
Ngono=sexy mapenzi=loves

Ngono ipo ndani ya mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…