Tofauti kati ya Mfanyabiashara na Mfanyakazi (Mtumishi wa Umma)

Mfanyabiashara, mjasiriamali na mfanyakazi...

Huyo Mchaga kuuza Duka tu ndio anataka awe na Mali zoote hizo?. Kwa kuuza Bidhaa wanazotengeneza watu wengine?.

Na Masharti yote hayo?. Watu weng hawawezi na tutashindwa.
 
Mfanyabiashara, mjasiriamali na mfanyakazi...

Huyo Mchaga kuuza Duka tu ndio anataka awe na Mali zoote hizo?. Kwa kuuza Bidhaa wanazotengeneza watu wengine?.

Na Masharti yote hayo?. Watu weng hawawezi na tutashindwa.
Sio anataka mkuu,hizo mali nilizozitaja hapo tayari anazo.Kufika bil.10 kwny a/c ndio bado anapambania.

Hizo godowns nilizokwambia hapo ziko zimejaza michele,karanga,maharage inshort nafaka mbalimbali+bidhaa za viwandani.

Trading business usiichukulie poa mzee baba,kuna watu wanapiga mipunga hatari na hawana hata kiwanda kidogo cha kutengeneza kizibo cha kalamu.

Masharti hayo ni magumu sana kulingana na malengo ya mtu especially kwa sisi wasomi lkn kwa manyamera wao ni pesa tu.
 
Nashukuru kwa hili somo lako adhimu. Nmekuelewa sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Na wewe unaamini ana 10B na mi Godown kwaduka la rejareja kweli wajinga hamuishi Duniani, watu kama ninyi mutaendelea kuwa mitaji kwa watu.
 
Tuko pa1 kaka. Sasa ngoja wasomi waje na biashara zao za kwenye "kaunta buku" unaweza hisi wana viwanda kumbe ndo kwanza ana plan
Umenikumbusha kitu fulani. Kuna wakati fulani nililima zao jipya sana hapa Tanzania, nilipoandika humu kuwa soko limekuwa la shida, mtaalamu mmoja humu JF aliniandikia kuwa nijilaumu mwenyewe kwani nilipaswa kujua soko kabla ya kuanza kuzalisha.

Maana yake nilipaswa kuanza kuuza zao ambayo hata sijajua linazalishwa vipi na kama nitafanikiwa kuvuna! Ndiyo hayo ya biashara kwenye counterbook!
 
Kwahiyo mkuu,unaona alieshauri kuwa ungetafiti soko kabla hujaingia shamba unaona alikosea?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Mkuu kuliko kupewa pesa ambayo muda mwingi unakuwa kama alizeti unachujwa wese lote kwa mafanikio ya mwingine, hapo hata ukiumwa hauwezi kaa home, maana wanahisi umeanza choka kazi hahaha
 
Huu ndo ushirikina sasa...Unakua na hela alafu hazikusaidii,unaishia kuwa mtumwa wa hela maisha yako yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabsa mkuu hapo umenena Jambo, pesa makaratasi hasara roho. Ukipata tumia acha kujibanabana na maisha yenyewe ndio haya.
 
Kwahiyo mkuu,unaona alieshauri kuwa ungetafiti soko kabla hujaingia shamba unaona alikosea?
Uhalisia wa maisha haupo hivyo. Ingekuwa hivyo tungekuwa tunaenda kwanza mbinguni kuangalia pepo afu ndo tuje kufanya IBADA. Au tungekuwa tunawachukua watoto tunawapeleka ofsin kutafta kazi then ndo tunawaandikisha chekechea. .

Ukweli ni kwamba Mafanikio ni matokeo ya Maandalizi kukutana na Fursa. Yani jiandae kwanza then ikitokea fursa ktk nyanja ulojiandaa nayo ndo tubo hilo.

Sasa we jaza counter books hata kumi za mipango na malengo afu usubir kama hiyo fursa itakufata kwenye madaftari
 
Upi sahihi naonaga sana hii kutafiti soko IPO kila mtu anafanya ila wengine wanakwambia utafute wateja kabla ya kuzalisha How Come.
 
Kwamba inawezekana leo mtu na mtaji wake achukue tu nguruwe na kuwapeleka uarabuni akauze maana fursa ya soko ataikuta tu hukohuko?

Hapana, mimi nadhani kujua kuhusu soko la bidhaa husika kwa sehemu husika kabla hujaanza inakupa mwanga kidogo kuliko kubutua tu.

Matokeo yake unajikuta unatoa miwa Ifakara na kwenda kuiuza Kilombero, mwisho wake ni kwenda kulilia bafuni ili watu wasikuone.
 
Unahisi wanaopata asara hawafanyi utafiti wa soko au ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…