Sema mishangazi hainaga noma sana aisee inatia huruma, ukiitenda inaumia lakini inavumilia na niwavumilivu pia kama huna pesa wanaelewa hawana mahtaji ya pesa mkurupuko, mingi inajitafutia pesa zao so unaweza kwama ikakupiga tafu, mishangazi ina mageto yao ya kiutu uzima mzee ukienda geto unakula unalala pasafi inapika yenyewe basi hainaga noma wewe tu kununua chakula. Nimalizie mishangazi chakula chetu kileee inakupa mpaka inakupa tena wewe tu ushindwe, yani kwa ufupi unasusiwa additional point inadeka kiutu uzima additional ya mwisho mkitoka wote out au night mtakunywa inacheza kisipoti inajiheshimu mida mkiona imetosha haina hiyana mnaondoka. Mishangazi mna sehemu yenu peponi.
Wa 2000 sasa, mizinga kila dakika 6, malalamiko kila kukicha vinataka pesa tu na pesa peke yake, ukienda kula mzigo mpk kakusimange eeeh ulininyima hiki kile, hukunipa hiki kile unataka tu Qm hahah yani tabu.. havina mageto vikiwa na mageto yamekaa kitoto, unakuta muda wote au mara nyingi mashosti wamejaa geto au wapo nao geto, mkitoka mpk kabebe na mashost kasipo wabeba huko club ni kucheza kila wimbo, kanataka kale kiiila kitu bar kuanzia kuku.”, mishikaki, ndizi, chipsi aisee bado akajaita Shisha Mezani, hakajapakia pombe kwenye mkoba za kurudi nazo geto. Bar kanataka mkae mpk alfajiri jamani🙃 kakishalewa gari kanaganya yake katafungulia mziki kataweka miguu juu ya dashboard kama kanajua bei ya gari vile
Kesho yake sasa itadaiwa pesa ya supu ya hang’over. kakilewa sana ndio kanakususia mbusulo 100% sasa baada ya kukususia usiku, kesho yake kaombe pesa lets say laki 1 ukaambie 50 hii sina kilo aisee 🙌🏽 utasikia mie ndio maana sikupagi uchi we bahili sana jana umenito.,,,weee leo hunipi unanipa pesa kidogo mie nitakula nini nitavaa nini salon nitaendaji hii 50k inaishia tu kwenye kucha kwanza nadaiwa na yule desh desh nilikwambia nimekopa jeans na tOp
Aiseee sitamaliza watoto wa 2000🙌🏽 sema tu wanawazid mashangazi kwakuwa mashangazi toyota baloon vyenyewe ni crown (yani kitu bado kina moto) mashangazi wengi ahaa mizigo ishajipoa
-Dumelang