Tofauti kati ya mpenzi mrefu na mfupi

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Hivi kuna tatizo mtu ukiwa na mpenzi shoti chesesi? au ladha ya penzi inapungua? mfano pichani.

 

Attachments

mmhhhh....!
Hapa sasa utaacha wengine tuyakimbie majibu...huh!
 
mmhhhh....!
Hapa sasa utaacha wengine tuyakimbie majibu...huh!

HA HA HA HA, Na kama kuna mtu mwenye mpenzi mfupi anisamehe najaribu kuuliza tu ni swali linalonisumbua muda mrefu....
 
I dont think so! cha muhimu hapa ni kama kweli mnapendana.Na vilevile sisi wanadamu tuliumbwa kutoshelezana.regardless umbo na sura ,yule anayekutosheleza wewe anaweza asi-fit kwa chrispin hata awe mzuri kiasi gani.Huwa wanasema kuwa the beauty is in the eyes of the beholder.Na hii beaty wanayoisema sio uzuri wa sura pekee bali hata ile happiness unayoipata ukiwa na huyo mpenzi.

Ubarikiwe
 

Amen
 


Ladha iko tofauti man ukiwa mfupi halafu demu awe tolu!
 


Ladha iko tofauti man ukiwa mfupi halafu demu awe tolu!

Mh! Ndio chanzo cha kupigwa hicho nasikia siku hizi wanaume wanapigwa kweli nahawaji hapa wala kwa mchungaji kusema.
 
Mh yanaweza yakawa matamu zaidi, maana huyo unampinda na kumbeba vyovyote vile unavyotaka kuliko akiwa tolu
 

Lol! ZD wewe umetoshelezwa na mimi?
 
Na demu akiwa mrefu je? nani anampinda mwenzie?
 
Mie naona kutakuwa na tofauti kwenye shuguli yenyewe endapo mwanaume atakuwa mfupi na shostito kuwa mrefu.
 
Siye bado wachumba,hatujakula tunda la mti wa mauti na uzima.

Afu kila siku nakuambiaga usitoe siri za ndani. Sasa ndo umefanya nini? Au unafikiri watu hawajui kuwa wachumba kula tunda ni kitu cha kawaida miaka hii?
 
mwanamke akishakuzidi urefu ATAKUSUMBUA!dawa yake(kwa wafupi wenzangu),ni kutembeza bakora kwenye kila kosa(bila kuzingatia udogo wa kosa hilo),azma kuu ni kurudisha heshima!

Nguli anaungana na mimi katika HILI
 
mwanamke akishakuzidi urefu ATAKUSUMBUA!dawa yake(kwa wafupi wenzangu),ni kutembeza bakora kwenye kila kosa(bila kuzingatia udogo wa kosa hilo),azma kuu ni kurudisha heshima!

Nguli anaungana na mimi katika HILI

ha ha ha ha! siumesikia siku hizi wanapiga wanaume sana? sema hatusemi? ila sidhani kama kuna mpwa ameshawahi kupigwa tungekuwa tumesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…