Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.. Karibu tufurahi wotee

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME:
1. Kwenye mshituko;
Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua[emoji23] [emoji23]

2. Kwenye kupenda;
Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]

3.Kwenye kusaidia;
Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika [emoji23] [emoji23]

4.Kwenye maamuzi;
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri [emoji23]
[emoji23] [emoji23]

5.Kwenye kudanganya;
Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume [emoji23] [emoji23] [emoji23]

6.Kwenye ugomvi;
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, kesho tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]

7.Kwenye ndoa;
Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]

8.Kwenye kukata tamaa;
Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

9.Kwenye kula;
Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba [emoji15][emoji15][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

10.Kwenye siri;
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]



Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke, ila zipo nyingi...
 
Mkuu wewe ni noma umeongea ukweli kbs[emoji108]
 
duh! hii tafiti kiboko
 
Ila Kuna wanawake hata wakiumizwa hawakat tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…