Tofauti kati ya ndoto na malengo&faida za kuwa na malengo

Dullah Ally

Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
16
Reaction score
12
Vijana wengi sana siku hizi tunapenda sana kuwa na maisha mazuri ofcourse kila mwanadamu anapenda kuwa na maisha mazuri hata mimi but sio maisha mazuri tyu kwa kuwa na uhakika wa kupata mahitaji matatu.
Ni ngumu sana kufanikiwa na kuwa bora katika jamii kama hauna malengo, ni sawa unasafiri na unapoelekea hapajulikani kila siku kwa imani yangu naamini ukiwa na LENGO na ukilishikilia hilo lengo na ukiwa una nia kweli ni rahisi kulifanikisha.

**MALENGO yamegawanyika katika makundi matatu ambayo ni...
¡} kundi la kwanza ni malengo ya mda mfupi.. Ambayo unaweza ukajiwekea kuyafanikisha ndani ya mwaka mmoja mfano inaweza kuwa kujitegemea, kununua vitu vya ndani n. K.
¡¡} kundi la pili ni malengo ya mda wa kati.. Haya yanachukua miaka 2 hadi 3 inaweza kuwa kuanzisha biashara, inaweza kuwa kupanua nyumba yako
¡¡¡} kundi la tatu ni malengo ya muda mrefu haya huchukua miaka 5 na kuendelea mara nyingi haya huwa ni malengo makubwa may be kufungua kampuni, kuwa na BRAND name.
Tujiwekee mazoea ya kuandika ni vyema kama una malengo yako uyaandike tofauti na kubaki nayo kichwani tyu pia lazima tutambue kuna tofauti kati ya NDOTO na MALENGO ukiwa na malengo mazuri ni rahisi kutimiza ndoto yako siku zote ndoto ndo kubwa na ndoto za wengi ni kuwa matajiri so tunafanyaje na unakuwa na malengo gani ili kufikia ndoto yako.
**ukipenda kufanya mambo rahisi maisha yako yatakuwa magumu ila ukifanya mambo magumu maisha yako yatakuwa rahisi **kumbuka hii kauli kutimiza ndoto sio jambo jepesi hata kidogo inabidi tufanye mambo magumu sana ili tuwe na good life kutokutunza akiba ni jambo rahisi sana, kama mwanafunzi kutokusoma ni jambo rahisi sana ila maisha yako yatakuwa magumu. Ila kutunza akiba ni jambo gumu sana, kusoma kwa bidii ni jambo gumu sana ila maisha yako mbeleni yatakuwa rahisi sana...

Abdullah_Ally
 
#Abdullah_Ally
 
Uwezi timizandoto kwakua kila wakati unaota ndoto mpya na huwa hazijirudii ,ila malengo ya nawezekana kwakua yana onekana wazi wazi nashukuru kwa kutukumbusha kitu muhimu katika maisha ngoja niamke sasa nitekeleze malengo yangu
 
Uwezi timizandoto kwakua kila wakati unaota ndoto mpya na huwa hazijirudii ,ila malengo ya nawezekana kwakua yana onekana wazi wazi nashukuru kwa kutukumbusha kitu amuhimu katika maisha ngoja niamke sasa nitekeleze malengo yangu

Kweli kabisa maana ndoto huwa ni kubwa sana ila kwa kutumia malengo tulionayo tunaweza fikia kikubwa zaidi kikubwa ni kuheshimu kila hatua tunayofikia bila kudharau ni ndogo ama kubwa coz kidogo ndo huleta kikubwa
 
Shukrani sana mkuu...kwa hili nimekupata sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…