Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
Wataalam wa lugha wanijuze tofauti ya Onesha na Onyesha hasa wakizingatia chanzo cha maneneo hayo na matumizi yake katika jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalam wa lugha wanijuze tofauti ya Onesha na Onyesha hasa wakizingatia chanzo cha maneneo hayo na matumizi yake katika jamii
Nimekuwa nikishangaa kwa jinsi vyombo vya habari vya Bongo vimekuwa vikiendesha kampeni dhidi ya mtumizi ya neno ONESHA ambalo kimsingi ndilo linalotakiwa kutumika kwenye matangazo ya Sanaa za majukwaani.Onesha: kitendo, mzizi wa neno ONA; lina maana ya kusaidia/kulazimisha kuona/kutambulisha. Onyesha: kitendo, mzizi wa neno ONYA; maana yake toa tahadhari (tahadharisha).