Tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma?

Dozencut

Senior Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
159
Reaction score
38
Yupi anatakiwa kusoma ordinary diploma, na nani anatakiwa kusoma advanced diploma,
NACTE wanasema kwa waliomaliza form 4 wakapata C ya biology na C ya chemistry watasoma diploma lakini wenye Ds watasoma certificate, wote ni miaka mitatu, ukiendelea zaidi unakutana na categories za diploma yaani ordinary na advanced. Nielewesheni wakuu
 
wanaoanza ordinary diploma ni wale waliomalza form four na kupata 'c'za chemistry na biology na 'D' ya physics na muda ni miaka mitatu. Na certfcate n miaka miwil na vigezo ni 'D' za PCB. Ikiwa umemalza ordinary dipl. na kufaulu vzur bac utaendelea na degree ila kama hukufaulu vzur na unataka kuendelea na degree bac ni lazma ukaanze advanced diploma ambayo nayo n miaka mitatu.
 

Thanks sana kwa kutujuza
 

Kuwaaa specific ni za afya au ualimuu
 
Kwa sasa hivi, advanced diploma vyuo vingi vimeacha kutoa kwa kuongezeka vyuo vikuu, Ukimaliza diploma unaingia degree lkn Advance diploma ilikuwa equivalent to degree, ulikuwa ukipata GPA nzuri kwenye Advance diploma unaweza kusomea Masters',
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…