Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,590 Reaction score 3,632 May 10, 2019 #1 Naomba kwa anae tambua Maradhi haya anidadavulie tafadhali, nahisi kuna mtu aweza kuwa maradhi haya kwa pamoja. Msaada wenu tafadhali.
Naomba kwa anae tambua Maradhi haya anidadavulie tafadhali, nahisi kuna mtu aweza kuwa maradhi haya kwa pamoja. Msaada wenu tafadhali.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 May 10, 2019 #2 Huyo Otism ndio nini mkuu, au ulimaanisha 'autism'