somba kankara
Member
- May 6, 2012
- 84
- 13
mwanaume hatakiwi kufanya kazi?
Kwa hiyo wanaume wanaoa ili wqapate wafanyakazi?
Mwanaume akimsaidia mkewe kazi ndo anakua karogwa? Yaani watu wasionyeshane mahaba wewe unadai karogwa? Loh.......
Lile limbwata uloniwekea limepungua nguvu, njoo chukua hela ukatafute lenye nguvu zaidi.
Nakusubiri huku kwa inbox ya PM. Ukichelewa ntakuchapa.
..............:spy::mwaaah:
Ooooooh Glory to God!!Babu odm inabidi bibi awe anakupa morning glory ila nitampeleka kimanzichana kwa mganga aw mange kimambi