Tofauti kati ya uhalisia(reality) na ukweli (truth)

Ferds

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
1,263
Reaction score
192
Wanaintelligensia, leo nakuja kifalsafa, hebu tuchemshe akili katika kuambiana maana na matumizi ya maneno hayo hapo juu, ukweli ni upi na uhalisia ni upi.
Asanteni.
 
Daaaah wakazi wa jf hii maada ni shida kidogo kuichambua, ngoja niwasubili wazawa halisia na waukweli tuchambue pamoja

.made in mby city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…