maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,340
- 1,832
Wakuu hii imekaaje, kwenye vyombo vya habari vya nje hasa televisheni, wachambuzi wa soka ni wachezaji waliocheza kwa mafanikio kipindi cha nyuma.
Hapa kwetu ukiacha Mayai na Kiemba ambaye mimi nimemuona jana, wengi wa wachambuzi wetu sikuwahi kuwasikia au kuwaona uwanjani. Ina maana gani?
Hapa kwetu ukiacha Mayai na Kiemba ambaye mimi nimemuona jana, wengi wa wachambuzi wetu sikuwahi kuwasikia au kuwaona uwanjani. Ina maana gani?