Tofauti kati ya wachambuzi wa soka wa Tanzania na wa nje

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,832
Wakuu hii imekaaje, kwenye vyombo vya habari vya nje hasa televisheni, wachambuzi wa soka ni wachezaji waliocheza kwa mafanikio kipindi cha nyuma.

Hapa kwetu ukiacha Mayai na Kiemba ambaye mimi nimemuona jana, wengi wa wachambuzi wetu sikuwahi kuwasikia au kuwaona uwanjani. Ina maana gani?
 
Hawa ilifaa wachambue mchele, soka lina wekedi wake
 
Wachambuzi WA BONGO ni WAJINGA WAJINGA sanaaaaaaa.

Wanachambua.
Mikataba ya kifedha.
Usajili wa wachezaji.
Jersey.
Dakika 90.
Umbea.
Figisu.
Mikataba ya wachezaji.
Rangi za jezi nk.

Yani wanachambua mambo Meeengi Hadi basi.
 
Mpira hawajacheza basi wasomee hata ukocha ili waujue mpira hawataki
ucha mbuzi bongo ni sehemu ya kuonesha ujinga wao
bora wawe wambea kama maalim zingizi ricardo momo

Anyway nimeacha kusikiliza michezo ya bongo ila ni fan mkubwa wa ricardo momo
 
Wachambuzi wengi wa Bongo ni wa kuunga unga, akishakuwa na app ya livescore na kujua misamiati kama High pressing, dribbling, tackling, double pivot, low block, zonal marking etc basi wewe tayari unajua mpira
Aisee ukweli mtupu.
 
Wachambuzi wa bongo ukifungwa mechi 1 uongozi mbaya timu ina migomo bil 20 zipo wapi Kocha kapigana timu ikishinda ugenini wameroga wamewasha moto katikati ya uwanja
 
Kiemba nimeona akichambua mechi ya simba dhidi ya De Agosto ,nikiri kuwa jamaa kaucheza mpira na anaujua mpira vizuri
 
Wrexham wabongo wote wamewekwa kwenye mfuko na GSM na wanamsikiliza kila anachosema pamoja na marefa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…