Tofauti kati yahizi

Tofauti kati yahizi

Cobbe boy

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
69
Reaction score
3
Bachelar of art with education and bachelar of education in geography and history, msaada tafadhar mwenye uwelewa na swala hili
 
Bachelor of Arts with Education:
Hapa utasoma masomo mawili makuu kati ya yale matatu uliyosoma Advance plus kozi za Education kwa kiasi flani.

Hicho ndicho ninachokijua, ila kuhusu hiyo Bachelor of Education in Goegraphy and History kwa kweli sina ujuzi labda subiri wenye kujua zaidi watakuelekeza.
 
thanks skype
 
Bachelar of art with education and bachelar of education in geography and history, msaada tafadhar mwenye uwelewa na swala hili

Swali kama hilo au linalofanana na hilo liliwahi kuletwa hapa siku za nyuma lakini ndani ya mwaka huu na likapatiwa majibu na ufafanuzi mpana. Jaribu kupekua nyuzi za nyuma ili upate ufahamu zaidi
 
Back
Top Bottom