Bachelar of art with education and bachelar of education in geography and history, msaada tafadhar mwenye uwelewa na swala hili
Bachelor of Arts with Education:
Hapa utasoma masomo mawili makuu kati ya yale matatu uliyosoma Advance plus kozi za Education kwa kiasi flani.
Hicho ndicho ninachokijua, ila kuhusu hiyo Bachelor of Education in Goegraphy and History kwa kweli sina ujuzi labda subiri wenye kujua zaidi watakuelekeza.
Bachelar of art with education and bachelar of education in geography and history, msaada tafadhar mwenye uwelewa na swala hili