Tofauti kati yetu...

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Hii ndo tofauti ya mawasiliano yaliyopo pale tukutanapo katika maisha ya kila siku!!!....

 

Attachments

  • unspoken-communication.jpg
    97.3 KB · Views: 216
Ngoshwe, ungepata mtaalamu akaiweka kibongobongo zaidi ingekuwa taaamu kweli!...kati ya wasichana hao lazima kungekuwa na parameter ya wowowo....piga ua!
 
hao wathungu ungeweka wabantu.
 
wacha wee huwa mara kibao naona ladies wakipisha au kituoni kwa daladala wanavyoangaliana kuanzia kwenye kucha hadi utosini, akitoka hapo lazima akatafute alichovaa mwenzie, kile alichovaa yeye sasa anakuwa haamini km ni kizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…