Wana jamvi kuna kitu ambacho watanzania tunashindwa kutofautisha ntaelezea tofauti hiyo ntaanza na CHUO KIKUU; kwa hapa tanzania tuna chuo kikuu kimoja tu nacho ni chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) sifa za chuo kikuu ni lazima kiwe na uwezo wa kutaini wanafunzi kuanzia ngazi ya cheti,stashahada,shahada ya kwanza, shahada ya uzamili, shahada ya uzamivu na mwisho uprofesa, pia lazma kiwe na maprofesa wengi au madokta bila kutegemea chuo kikuu kingne pia lazima kiwe na maeneo kama ya michezo na maktaba kubwa, internet wireless, karakana kubwa za sayansi na teknolojia na vingine pia ni lazma kiwe kinajitegemea kiuendeshaji. Taasisi km IFM,CBE,MIST,ATC ivi havina hadhi vya kuitwa chuo bali taasisi kwa sababu havina ata vigezo vilivotajwa hapo juu, CHUO ivi vinaweza vikawa na uwanja wa michezo na pia kutoa wanafunzi wa master na phd ila kama walimu hawatoshi vitaitwa chuo mfano UDOM,MZUMBE,SUA, kuna vigezo vingine mnaweza mkavitaja ila chuo km udom akina hadhi kuitwa chuo kikuu kwa sababu wanakitegemea maprofesa na madokta wa mlimani. Maoni yangu pinga kwa hoja .