Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Kuna mtu kaibiwa kwani?
Ahahaaaah....
Leo kazi unayo..!
Nafikiri ni Uzi wa kumi huu unahangaika na Diamond..!
Hatari sana..!!!
Ahahaaaah....
Leo kazi unayo..!
Nafikiri ni Uzi wa kumi huu unahangaika na Diamond..!
Hatari sana..!!!
Hahahahaha! Tunaishi kiujanja ujanja!Matonya na Davido wameshalizwa tayari
Atakuwa karibu na makonda! HahahahahahaKweli kabisaaaaa
Inaonyesha yupo mbali haswaaaa
Video kaiga kwa jason derulo wimbo unaitwa trumplet songNi kweli kabisa
Seduce me ndio habari ya Afrika kwa sasa