Tofauti kubwa kati ya mwerevu na mjinga, tajiri na maskini

Hapo nimekupata vyema
Kwamba mwerevu wa taaluma Fulani kutaka kuvamia na kujifanya kujua taaluma nyingine
Hapo sawa

Ila kwenye maisha ni vyema kujitahidi kujua vitu vingi kidogo mfano mambo ya uchumi, sheria, siasa, michezo, technology, dini n.k hata kama sio Kwa kiwango kikubwa japo uwe na ABC
 

Ukijua mambo mengi inakuweka kwèñye Nafasi nzuri ya kuitwa Mwerevu na mwenye karama.

Mjinga NI mtu yeyote tuu Kam alivyomwerevu.
 
in short, watu wengi humu wanaigiza kuwa na akili wakati hawana, pia wapo wasanii na watoto wengi wa mjini wanaigiza utajiri wakati wanakaa uswahilini na kula kwa mama-ntilie
 
in short, watu wengi humu wanaigiza kuwa na akili wakati hawana, pia wapo wasanii na watoto wengi wa mjini wanaigiza utajiri wakati wanakaa uswahilini na kula kwa mama-ntilie

Huwezi kuigiza unaakili kama haujafika level flani ya werevu. Lazima úwe na ABC za kitu unachoigiza.

Mfano wewe unaweza igiza masuala ya ûtaalamu WA IT Ikiwa hujui Kabisa ABCza IT jibu NI kuwa haiwezeniki.

Kuhusu hao Wasanii kuigiza utajiri Wakati siô matajiri haimaanishi waô NI Maskini
 
We kijana bado hujajua kitu kinaitwA (MAJALO)siku ukikijua utarudi jf kufuta huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…