Tofauti kubwa kati ya United na Arsenane

Hii rekodi inatia kinyaa huwezi kutafunwa hivyo harafu unajiita eti timu kubwa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Watu mnajua namna ya kuumiza wenzenu hawa jamaa mpaka sasa hawajui majaaliwa ya timu yao kisha mnawatonesha vidonda kwa takwimu zetu zilizo tukuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…