Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Alikiba wacha apendwe bwana na mashabiki wake coz yeye ni kichwa,mkomavu na hapendi bifu za kijingajinga
Nimeshangaa sana kumsikia Ally Kiba akimtaja Diamond kama mmoja ya wasanii waliomvutia na waliofanya vizuri.
Huyu Kiba anahitaji management bora tu kwa sasa hana dharau kiburi wala kujisikia.
Ukisikia wenye busara ndio hao...
Na akili pia,kiukweli hii speech aliyotoa leo amekata mzizi wa fitna
sijaona point yako haya hebu mwambie domo amsifie kiba kama ataweza mshaurini domo aache dharau kama kweli mnampendaMkuu Matola unasumbuliwa na mahaba... kwani Ali K kumtaja Diamond ndio nini? Inawezekana kamtaja kinafiki tu, moja lakini mbili ni huku kwa social networks na media ndiko tunachochea bifu! Binafsi sina nongwa na Kiba ila nina nongwa na wale wanaomchukia mtu bila sababu za msingi!! Kuna mmoja kaja na kali ya mwaka kwamba eti Diamond anawavua sana chu*pi mademu.... aaaaaargh, wanaovuliwa wenyewe halalamiki anakuja kulalamika mtu mwingine.... nyie watu vipi???!!!! Afadhali basi angekuwa anavua watoto wa shule tungesema anawarubuni lakini mimama mijitu mizima imevuliwa chu*pi na wanaume kibao wengine sawa na baba zao, akawavua Dangote inakuwa nongwa.... eheeee!
Hamuishiwi maneno... mlianza kwamba anajingazia amemtoa Davido, mkaja tena kwamba amedharau hotel za Mbeya... leo tena mwaumia kusema atamsaidia Kiba, eh! Tatizo lenu ni hil tu kusema kwamba "nitamsaidia" au kuna lingine? Mbona hamkuja juu aliposema amewasaidia wale wa Nigeria au S.A? Muulize Nay wa Mitego atakuambia maana ya kumshirkisha Diamond... na kama wewe ndo umeomba kufanya nae featuring kisha akakubali, ndio.... AMEKUSAIDIA! Hata hao Mafiki Zolo (cjui wanaitwaje cjui) nao amewasaidia coz' lengo lao la kufanya featuring na Diamond na kutangaza muzki wao EA... Pamoja na mahaba yote tuliyonayo kwa wapendwa wetu lakini mtake msitake, leo hii Diamond akifanya kazi na Ali Kiba basi Kiba ndie atakuwa amesaidiwa coz' Diamond anafahamika zaidi nje kuliko Ali Kiba... hutaki, unaacha!Ooooh jamani...Mimi ndio maana nazidi kumpenda Kiba,ana busara sana jamani,wakati mwenzie anahaha kumdharau eti 'atamsaidia' lakini yeye anamsifia
Am speechless jamani nimefurahi sana (lakini haizidi juzi leaders)
Wewe amekudharau nini?sijaona point yako haya hebu mwambie domo amsifie kiba kama ataweza mshaurini domo aache dharau kama kweli mnampenda
ndo mjue kwamba diamond na kiba hawana bifu..tatizo ni nyie mashabik mav..kutupigia kelele humu jf..
Unataka tufanyaje sasa tumejua tofauti then?Ally Kiba kihojiwa na Amplifire ya Mirlad Ayo ameulizwa maoni yake ni wasanii gani walimvutia kwenye show ya Fiesta amewataja wanamuziki kadhaa pamoja na Diamond.
My take: hapa ndio tofauti ya mtu mwenye akili na huyu mswahili wa Tandale unapoona ni watu wawili tofauti kabisa. Kiba ameonesha gape kubwa ya uelewa kati yake na domo.
Anayetaka kusikia mwenyewe mahojiano ya Kiba na Ayo aingie kwenye web ya Ayo.
Cc: Dinazarde warumi matumbo NasDaz geniveros nifah michael western
Mkuu Matola unasumbuliwa na mahaba... kwani Ali K kumtaja Diamond ndio nini? Inawezekana kamtaja kinafiki tu, moja lakini mbili ni huku kwa social networks na media ndiko tunachochea bifu! Binafsi sina nongwa na Kiba ila nina nongwa na wale wanaomchukia mtu bila sababu za msingi!! Kuna mmoja kaja na kali ya mwaka kwamba eti Diamond anawavua sana chu*pi mademu.... aaaaaargh, wanaovuliwa wenyewe halalamiki anakuja kulalamika mtu mwingine.... nyie watu vipi???!!!! Afadhali basi angekuwa anavua watoto wa shule tungesema anawarubuni lakini mimama mijitu mizima imevuliwa chu*pi na wanaume kibao wengine sawa na baba zao, akawavua Dangote inakuwa nongwa.... eheeee!
Nilikuwa shop kwa mangi nikasikia ally kiba akiongea hivyo ndo maana nilishawahi kusema huyu domo akajifunze kwa kina juma kassim,prof,ay,komando na malkia bi hadja kopa hao wanawafahamu vema watanzania
Hivi ni nani anaem manage Kiba kwa sasa?itabidi ajiongeze sasa naona alikua haijui thamani yake juzi hajaamini macho yake lile shangwe la umati wote leaders hadi ali panick!!!
Na akili pia,kiukweli hii speech aliyotoa leo amekata mzizi wa fitna
Nilikuwa shop kwa mangi nikasikia ally kiba akiongea hivyo ndo maana nilishawahi kusema huyu domo akajifunze kwa kina juma kassim,prof,ay,komando na malkia bi hadja kopa hao wanawafahamu vema watanzania