TOFAUTI: Mbuzi wa Sherehe na Mbuzi wa Maombolezo

TOFAUTI: Mbuzi wa Sherehe na Mbuzi wa Maombolezo

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Ni Kwa vile sisi wenyewe tumeizoea hali hii, lakini Kwa kweli nchi yetu ina mambo mengi ya kushangaza.

Fikiria, Kwenye kipindi hiki cha maombolezo, watu wanaweza kukamatwa kwa kukutana na kuchoma mbuzi Kwa kosa la kusherehekea lakini wakawa huru kuagiza mbuzi-choma na bia kwenye baa zilizo wazi nchi nzima!

FB_IMG_1616409863501.jpg

Na James Gayo.
 
Nchi hii wananchi wake ni maiti. Ndiyo maana jiwe aliwaburuza mpk akafa.

Haiwezekani watu wanaonewa kiasi hiki halafu tumekaa kimya tu!!
 
Back
Top Bottom