A Father, pole kwa changamoto. Pamoja na kutumia dawa za kutuliza maumivu, njia sahihi zaidi ni kuondoa sababi ya maumivu. Kupitia mtandao ni vigumu kuhisi nini hasa kimesababisha maumivu kwa hiyo inabidi mtaalam wa meno aliangalie jino na kutoa ushauri. In general hali hiyo inaweza kusababishwa na mkusanyiko wa vijidudu au mizizi ya jino kuota vibaya.
Again pole ndugu yangu...