Tofauti na kung'oa...

A Father

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
1,219
Reaction score
380
Kipi kitumike kuondoa maumivu ya jino lililotoboka ambayo yamesababisha shavu kama sio ufizi kuvimba?

Natanguliza shukrani kwa ushauri wako.
 
A Father, pole kwa changamoto. Pamoja na kutumia dawa za kutuliza maumivu, njia sahihi zaidi ni kuondoa sababi ya maumivu. Kupitia mtandao ni vigumu kuhisi nini hasa kimesababisha maumivu kwa hiyo inabidi mtaalam wa meno aliangalie jino na kutoa ushauri. In general hali hiyo inaweza kusababishwa na mkusanyiko wa vijidudu au mizizi ya jino kuota vibaya.
Again pole ndugu yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…