Tofauti na mwingiliano kati ya kampuni na ngo

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
Naomba msaada wa namna ya kusajili:
Ukweli ni kuwa nataka kusajili chombo ambacho kimsingi nikutoa huduma ya elimu, kama kampuni. Lakini wakati huo huo niweze kupatamisaada kama ambavyo NGO zinasaidiwa. Naomba msaada wa je naweza kusajili kamaNGO, au kampuni, na je nini mipaka yake.

Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…