Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Tofauti na zama hizi, zamani watoto na hata watu wazima walikuwa wanavaa hirizi waziwazi bila kificho.
Tulipokuwa tunacheza mpira shuleni/mtaani ilikuwa ni kawaida mtu kukuomba umshikie hirizi yake kama wewe hauchezi siku hiyo, au ilikuwa kawaida mwalimu kutangaza hirizi ya fulani imepotea aliyeiona aisalimishe ofisini 😂😂😂