Tofauti na zama hizi, zamani watoto na hata watu wazima walikuwa wanavaa hirizi waziwazi bila kificho.
Tulipokuwa tunacheza mpira shuleni/mtaani ilikuwa ni kawaida mtu kukuomba umshikie hirizi yake kama wewe hauchezi siku hiyo, au ilikuwa kawaida mwalimu kutangaza hirizi ya fulani imepotea aliyeiona aisalimishe ofisini πππ
View attachment 3087945