Wanandugu hope mu wazima,
Hivi tofauti ya haya maneno ni nini?Nakupenda Nakutamani, Nakuhitaji.
maana ya maneno haya matatu kwenye mahusiano ni nini?
Kuna shosti wangu analalamika kuwa mchumba wake hawezi kutamka 'nakupenda' kwa madai ya kuwa anamtamani tu, yeye anapenda baba,mama, kaka na dada..na kuongezea ya kuwa akimwambia anampenda atajibweteka na kujiachia afu akawa hatamanishi tena.
Swali ni je definition ya haya maneno inatofautiana kulingana na jinsia?
Nawakilisha
Inategemea na matumizi muda na wakati

Kamusi pia inaweza saidia